Patrick Kubuya – Sikia Maombi

Patrick Kubuya – Sikia Maombi

Patrick Kubuya Sikia Maombi Mp3

Patrick Kubuya Sikia Maombi Mp3 Download Fakaza Gospel. Patrick Kubuya a popular Congolese gospel recording artist, come through with the vibe called Sikia Maombi.

Sikia Maombi Mp3 Download. Listen online, and enjoy The Lyrics, Video of your favorite Music

Stream, Listen, and Download Below.

DOWNLOAD MP3: Patrick Kubuya – Sikia Maombi

Lyrics: Patrick Kubuya – Sikia Maombi

Yote ninayoitaji ndani yako nitayapata
Chini ya wema wako hunijibu kwa maombi
Nafsi yangu yakuhitaji Bwana
Kwa maombi ninakutafuta
Usiende mbali na mimi Bwana
Jifunue kwangu nakusihi

Yote ninayoitaji ndani yako ninatayapata
Chini ya uwepo wako unajibu kwa maombi
Nafsi yangu yakuhitaji Bwana
Kwa maombi ninakutafuta
Usiende mbali na mimi Bwana
Jifunue kwangu nakusihi

Ninaomba nione mkono wako
Roho wako mtakatifu akae pamoja

Mwanga wa mbinguni uangaze maisha yangu
Kwa neema yako badili historia yangu

Yesu sikia maombi yangu
Unijibu Baba eh Bwana ninakusihi

Ninaomba nione mkono wako
Roho wako akae pamoja nami
Mwanga wa mbinguni uangaze maisha yangu
Kwa neema yako badili historia yangu

Yesu sikia maombi yangu
Unijibu Baba eh Bwana ninakusihi

Ninaomba nione mkono wako
Roho wako akae pamoja nami
Mwanga wa mbinguni uangaze maisha yangu
Kwa neema yako badili historia yangu