Martha Mwaipaja – Mimi Ni Mpitaji

Martha Mwaipaja – Mimi Ni Mpitaji Mp3 download

Martha Mwaipaja Mimi Ni Mpitaji Mp3

Martha Mwaipaja Mimi Ni Mpitaji Mp3 Download Fakaza Gospel. Veteran Tanzanian gospel singer, Martha Mwaipaja comes through with a brand new song which is titled Mimi Ni Mpitaji.

Martha Mwaipaja Mp3 Download. Listen online, and enjoy The Lyrics, Video of your favorite Music

Stream, Listen, and Download Below.

DOWNLOAD MP3 Martha Mwaipaja – Mimi Ni Mpitaji

Mimi Ni Mpitaji Lyrics By Martha Mwaipaja

Mimi ni mpitaji katika dunia
Makao yangu ni kwa baba juu
Baba yangu kaniandalia makao
Alipo yeye nami ndipo niwepo
Kwa hiyo mimi ulimwenguni sio kwangu
Kwangu mimi ni kwa baba juu’
Mimi ni mpitaji katika dunia
Makao yangu ni kwa baba juu
Baba yangu kaniandalia makao
Alipo yeye nami ndipo niwepo
Kwa hiyo mimi ulimwenguni sio kwangu
Kwangu mimi ni kwa baba juu
Naishi ninajua
Nipo hapa kwa muda
Makao ya milele
Ni binguni kwa baba
Magumu yanipatayo
Yote ni ya kitambo
Nyumbani kwa baba
Kule hakuna taabu
Yeye si mwanadamu
Hatasema uwongo
Akisema mwokozi
Ni nani atapinga
Ingawa dhiki ipo
Moyoni sitahofu
Ameenda kuandaa
Anarudi kunitwaa
Nitaubeba msalaba
Hata kama ni kwa shinda
Ninajua Yesu wangu
Anarudi kunitwa
Kasema asiye na shaka
Huyo atamuona
Sina shaka na baba
Yuaja kunitwaa
Mimi ni mpitaji katika dunia
Makao yangu ni kwa baba juu
Baba yangu ‘kaniandalia makao
Alipo yeye nami ndipo niwepo
Kwa hiyo mimi ulimwenguni sio kwangu
Kwangu mimi ni kwa baba juu
Mimi ni mpitaji katika dunia
Makao yangu ni kwa baba juu
Baba yangu ‘kaniandalia makao
Alipo yeye nami ndipo niwepo
Kwa hiyo mimi ulimwenguni sio kwangu
Kwangu mimi ni kwa baba juu
Asema hatamuacha wake
Daima
Mimi nipo na baba
Sitaachwa
Yote ya dunia
Yanapita
Makao ya baba
Yadumu daima
Ninajiweka tayari
Kumgonja
Atakaporudi baba
Atanitwaa
Sitahofu nikipita
Katikati ya mateso
Nimewekewa taji
Ya ushindi mbinguni
Mimi ni wa thamani
Mbele zake baba
Hawezi kuniacha
Yupo nami daima
Mimi ni mpitaji katika dunia
Makao yangu ni kwa baba juu
Baba yangu kaniandalia makao
Alipo yeye nami ndipo niwepo
Kwa hiyo mimi ulimwenguni sio kwangu
Kwangu mimi ni Kwa baba juu
Baba, mama, kaka, dada
Wote twendeni
Tukazeni mwendo wote
Tukafike
Anakuja baba
Na ujira
Wote twendeni
Tukamuone kwa uso
Aliupenda ulimwengu
Anarudi
Wote twendeni
Tukamuone
Mimi ni mpitaji katika dunia
Makao yangu ni kwa baba juu
Baba yangu kaniandalia makao
Alipo yeye nami ndipo niwepo
Kwa hiyo mimi ulimwenguni sio kwangu
Kwangu mimi ni kwa baba juu
Mimi ni mpitaji katika dunia
Makao yangu ni kwa baba juu
Baba yangu kaniandalia makao
Alipo yeye nami ndipo niwepo
Kwa hiyo mimi ulimwenguni sio kwangu
Kwangu mimi ni kwa baba juu