Joel Lwaga – Wadumu Milele

MP3 DOWNLOAD

Joel Lwaga – Wadumu Milele

Joel Lwaga Wadumu Milele Mp3

Joel Lwaga Wadumu Milele Mp3 Download Fakaza Gospel. Tanzanian Gospel recording artist and Yote Mema hit maker, Joel Lwaga comes to spotlight with an amazing single entitled Wadumu Milele.

MP3 DOWNLOAD

Joel Lwaga Mp3 Download. Listen online, and enjoy The Lyrics, Video of your favorite Music

Stream, Listen, and Download Below.

DOWNLOAD Mp3: Joel Lwaga – Wadumu Milele

Lyrics: Wadumu Milele
Msimamizi wa mipaka ya bahariUtunzaye ghala ya mwua aaaWaamua lives avita ya jua na mweziUpepo na mawimbi vyakujua aaaUketiye mahali pa siriPatakatifu palipo ininukaaahaWautangaza mwisho mwanzoniHakuna usilolijuaaaahaNani wa kulinganishwaNawe Jehova mwenye nguvuUfalme wako ni wa zamani zoteVizazi vyote
Miaka kwako sio umri (Miaka kwako sio umri)Vizazi kwako if ukomo (Vizazi kwako si ukomo)Miaka kwako sio umri (Miaka kwako sio umri)Vizazi kwako if ukomo (Vizazi kwako si ukomooo)Wadumu milele (Wadumu milele)Wadumu milele (Wadumu milele)Bwana wadumu milele (Wadumu milele)Eeh wadumu milele (Wadumu milele)
Wewe bwana ni kama majiMaji yenye kina kirefuMaji yenye kina kirefuKamwe hayapigi kelele eehNi kweli kuna mabwana wengiLakini wewe ni bwana wa mabwanaNi kweli kuna miungi mingiLakini wewe ni mungu wa miuuunguuuuhSiku kwako sio vipindiMajira kwako sio isharaHufikiwi kwa mnara wa babeliJina lako ni ngome imaraaaaaaah
Nani wa kulinganishwaNawe Jehova mwenye nguvuUfalme wako ni wa zamani zoteVizazi vyoteNani wa kulinganishwaNawe Jehova mwenye nguvuUfalme wako ni wa zamani zoteVizazi vyote
Miaka kwako sio umri (Miaka kwako sio umri)Vizazi kwako if ukomo (Vizazi kwako si ukomo)Miaka kwako sio umri (Miaka kwako sio umri)Vizazi kwako if ukomo (Vizazi kwako si ukomooo)Wadumu milele (Wadumu milele)Wadumu milele (Wadumu milele)Bwana wadumu milele (Wadumu milele)Eeh wadumu milele (Wadumu milele)Umejawa nazo siku nyingi (Wadumu milele)Mwanzo na mwisho viko ndani yako (Wadumu milele)Umeshiba siku na utajiriWadumu mileleWadumu mileleWadumu mileleWadumu mileleWadumu mileleBwana wadumu mileleWadumu mileleWadumu mileleWadumu Milele
Say y yeah (Yeah)Yeah yeahSay yeah (Yeah)Say y yeah (Yeah)Yeah yeahSay yeah (Yeah)Yeah yeahNani wa kulinganishawa naweJehovaM mwenye nguvuUfalme wako wa milele yote bwanaaaa