Joel Lwaga Wadumu Milele Mp3
Joel Lwaga Wadumu Milele Mp3 Download Fakaza Gospel. Tanzanian Gospel recording artist and Yote Mema hit maker, Joel Lwaga comes to spotlight with an amazing single entitled Wadumu Milele.
Joel Lwaga Mp3 Download. Listen online, and enjoy The Lyrics, Video of your favorite Music
Stream, Listen, and Download Below.
DOWNLOAD Mp3: Joel Lwaga – Wadumu Milele
Lyrics: Wadumu Milele
Msimamizi wa mipaka ya bahari
Utunzaye ghala ya mwua aaa Waamua lives avita ya jua na mwezi Upepo na mawimbi vyakujua aaa Uketiye mahali pa siri Patakatifu palipo ininukaaaha Wautangaza mwisho mwanzoni Hakuna usilolijuaaaaha Nani wa kulinganishwa Nawe Jehova mwenye nguvu Ufalme wako ni wa zamani zote Vizazi vyoteMiaka kwako sio umri (Miaka kwako sio umri)
Vizazi kwako if ukomo (Vizazi kwako si ukomo) Miaka kwako sio umri (Miaka kwako sio umri) Vizazi kwako if ukomo (Vizazi kwako si ukomooo) Wadumu milele (Wadumu milele) Wadumu milele (Wadumu milele) Bwana wadumu milele (Wadumu milele) Eeh wadumu milele (Wadumu milele)Wewe bwana ni kama maji
Maji yenye kina kirefu Maji yenye kina kirefu Kamwe hayapigi kelele eeh Ni kweli kuna mabwana wengi Lakini wewe ni bwana wa mabwana Ni kweli kuna miungi mingi Lakini wewe ni mungu wa miuuunguuuuh Siku kwako sio vipindi Majira kwako sio ishara Hufikiwi kwa mnara wa babeli Jina lako ni ngome imaraaaaaaahNani wa kulinganishwa
Nawe Jehova mwenye nguvu Ufalme wako ni wa zamani zote Vizazi vyote Nani wa kulinganishwa Nawe Jehova mwenye nguvu Ufalme wako ni wa zamani zote Vizazi vyoteMiaka kwako sio umri (Miaka kwako sio umri)
Vizazi kwako if ukomo (Vizazi kwako si ukomo) Miaka kwako sio umri (Miaka kwako sio umri) Vizazi kwako if ukomo (Vizazi kwako si ukomooo) Wadumu milele (Wadumu milele) Wadumu milele (Wadumu milele) Bwana wadumu milele (Wadumu milele) Eeh wadumu milele (Wadumu milele) Umejawa nazo siku nyingi (Wadumu milele) Mwanzo na mwisho viko ndani yako (Wadumu milele) Umeshiba siku na utajiri Wadumu milele Wadumu milele Wadumu milele Wadumu milele Wadumu milele Bwana wadumu milele Wadumu milele Wadumu milele Wadumu MileleSay y yeah (Yeah)
Yeah yeah Say yeah (Yeah) Say y yeah (Yeah) Yeah yeah Say yeah (Yeah) Yeah yeah Nani wa kulinganishawa nawe Jehova M mwenye nguvu Ufalme wako wa milele yote bwanaaaa