Essence of Worship – Shangilia

Essence of Worship – Shangilia

Essence of Worship Shangilia Mp3

Essence of Worship Shangilia Mp3 Download Fakaza Gospel. Essence of Worship comes through with dace able soul lifting song, titled Shangilia.

Essence of Worship Mp3 Download. Listen online, and enjoy The Lyrics, Video of your favorite Music

Stream, Listen, and Download Below.

DOWNLOAD Mp3: Essence of Worship – Shangilia

Lyrics: Shangilia
Anastahili sifa za mioyo yetu, hallelujahHallelujahVigelegele kwa Yesu
ShangiliaPiga kelele kwa bwanaShangilia(Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana(Shangilia) Shangilia(Piga kelele) piga kelele kwa bwana(Shangilia) Shangilia(Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana
Ametukuka!Ametukuka, milele ametukukaAmetukuka, milele ametukukaAmetukuka!Ametukuka, milele ametukukaAmetukuka!Ametukuka, milele ametukukaAmetukuka!Ametukuka, milele ametukukaAmetukuka!Ametukuka, milele ametukuka
ShangiliaPiga kelele kwa bwanaShangilia(Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana(Shangilia) Shangilia(Piga kelele) piga kelele kwa bwana(Shangilia) Shangilia(Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana
Ametukuka!Ametukuka, milele ametukukaAmetukuka!Ametukuka, milele ametukukaHuyu YesuAmetukuka, milele ametukukaAmetukuka!Ametukuka, milele ametukuka
Eeh bwana, jina lako la mileleMungu nguvu la vizazi hata vizazi(Eeh bwana)Eeh bwana, jina lako la milele(Kumbukumbu la)Kumbukumbu la vizazi hata vizazi
Mataifa yote msifu bwana(Enyi watu wote humu ndani)Enyi watu wote mhimidini(Mataifa yote)Mataifa yote msifu bwana(Enyi watu wote mhimidini)Enyi watu wote mhimidini
Msifuni kwa mfumo baragumuMsifuni kwa kinanda na kinumbi(Msifuni kwa matari)Msifuni kwa matari na kucheza(Kila mwenye pumzi)Kila mwenye pumzi na msifu bwana
Ametukuka!Ametukuka, milele ametukukaAmetukuka, milele ametukukaAmetukuka!Ametukuka, milele ametukuka(Huyu Yesu)Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka!Ametukuka, milele ametukuka(Huyu Yesu)Ametukuka, milele ametukuka(Huyu Yesu)Ametukuka, milele ametukuka
Ametukuka!Ametukuka, milele ametukuka(Huyu Yesu)Ametukuka, milele ametukukaAmetukuka!Ametukuka, milele ametukuka
ShangiliaPiga kelele kwa bwanaShangilia(Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana(Shangilia) Shangilia(Piga kelele) piga kelele kwa bwana(Shangilia) ShangiliaMsifu bwana wa mabwana
ShangiliaPiga kelele kwa bwanaShangilia(Msifu bwana) msifu bwana wa mabwana(Shangilia) ShangiliaPiga kelele kwa bwana(Shangilia) ShangiliaMsifu bwana wa mabwana
Ametukuka!Ametukuka, milele ametukukaAmetukuka!Ametukuka, milele ametukukaAmetukuka!Ametukuka, milele ametukukaAmetukuka, milele ametukuka
Ametukuka, milele ametukukaAmetukuka!Ametukuka, milele ametukuka
Shangilia