Ambwene Mwasongwe – Tangulia Mbele

Ambwene Mwasongwe – Tangulia Mbele Mp3 download

Ambwene Mwasongwe Tangulia Mbele Mp3

Ambwene Mwasongwe Tangulia Mbele Mp3 Download Fakaza Gospel. The gospel artist, Ambwene Mwasongwe comes through with a brand new banging jam titled Tangulia Mbele.

Ambwene Mwasongwe Mp3 Download. Listen online, and enjoy The Lyrics, Video of your favorite Music

Stream, Listen, and Download Below.

DOWNLOAD MP3 Ambwene Mwasongwe – Tangulia Mbele

QUOTABLE LYRICS

Mbele yangu (vita) Bwana (pita) Yesu (pita, mbele yangu pita)
Mbele yangu (pita) pita Bwana (pita) Pita (pita, mbele yangu pita)
Mbele kuna hatari, Mbele kuna maadui, mbele kuna vitisho mbele kuna mashimo
Mbele kuna vita, mbele kuna ugomvi, tangulia mbele
Nikweli nimepanga mambo mengi kufanya lakini usalama wangu umebaki kwako mwenyewe
Ndio maana leo nimekuja, kupiga magoti mbele zako
Ninaomba nisaidie uende mbele yangu,
Macho yangu hayaoni nini kiko mbele …Natumaini wewe wewe umeona,
Tangulia mbele yangu Bwana kanyooshe mapito
Siwezi kwa ufahamu wangu nataka leo nishinde ii (Kama ukienda mbele yangu hakuna jambo maagumu nitashindwa, nitajiachia kama tai nikijua wewe bwana uko mbele)