Walter Chilambo – Unafaa

Walter Chilambo – Unafaa

Walter Chilambo Unafaa Mp3

Walter Chilambo Unafaa Mp3 Download Fakaza Gospel. Walter Chilambo presents to us this new song dubbed Unafaa.

Walter Chilambo Mp3 Download. Listen online, and enjoy The Lyrics, Video of your favorite Music

Stream, Listen, and Download Below.

DOWNLOAD Mp3: Walter Chilambo – Unafaa

Lyrics: Walter Chilambo – Unafaa

Macho yameona na tena nimesikia habari njema kwangu
Moyo una shauku pia kukuona zaidi bwana wangu
Nina kiu kiu isio kata aah ni kama nipo jangwani naona vumbi tu
Nahitaji chakula cha roho yangu mi nipone kwa maana nipo jangwani

Ukae na mimi ukae ndani yangu nikae na wewe uwe salama yangu

Hakika wewe unafaa [unafaa]

Baba sitamani nije kwako mikono mitupu nibariki nikutolee sadaka
Najua nikiwa mikononi mwako nitakua shwari nitakuwa shwari
Kwa mana ahadi zako si uongo [uongo] ndivyo hivyo unatimiza ahadi
Ndo maana sina wasiwasi ndo maana sina waasi

Ukae na mimi ukae ndani yangu nikae na wewe iwe salama yang
Baba [huhuhuuuh] ukae ndani yangu nikae na wewe [babababababah]
Ni wewe unanifaa unafaa [unafaa]
We ni babaah [unafaa] baba ni wewe unastahili [unafaa]

Njoo ukate kiu yangu