Joel Lwaga Pendo Mp3
Joel Lwaga Pendo Mp3 Download Fakaza Gospel. The renowned African Christian music minister, praiser, and worship leader, Joel Lwaga comes through with a new song tagged “Pendo”.
Joel Lwaga Mp3 Download. Listen online, and enjoy The Lyrics, Video of your favorite Music
Stream, Listen, and Download Below.
DOWNLOAD Mp3: Joel Lwaga – Pendo
Lyrics: Pendo
Hee
Hee Hee (Ni nguvu yangu mi)Kutoka ule moyo uliovunjika vipande
Mmh huzuni, machozi, na kukatishwa tamaa Sasa nakamilishwa, katika furaha ya pendo lakoLililo kamilifu kwa kumtoa mwanao pekee
Pendo lisilo na kikomo, pendo lisilo na kipimo Pendo lisilo na malipo ya nguvu zangu, say Umeziba ufa wa huzuni kwa theluji ya furahaAcha nikuimbie wewe
Eeh eeh eh Pendo lako eh Furaha yangu eh Furaha yako Ni nguvu yangu mi ehPendo lako eh
Furaha yangu eh Furaha yako Ni nguvu yangu mi ehNilijaribu kwingine, nilichoambulia
Ni maumivu tuu Upendo ule mwingine, ni wa muda Na umejawa usaliti tuUkachukua mzigo wangu mzito
Na ukanipa wako mwepesi eeh Ukachukua nira yangu ngumu, Na ukanipa yako laini eehPendo lisilo na kikomo
Pendo lisilo na kipimo Pendo lisilo na malipo ya nguvu zangu, say Umeziba ufa wa huzuni kwa theluji ya furaha aahAcha nikuimbie wewe eh
Pendo lako eh (pendo lako) Furaha yangu eh Furaha yako Ni nguvu yangu mi ehSay pendo lako
Pendo lako eh (pendo lako) Furaha yangu eh (furaha yangu) Furaha yako (hey) Ni nguvu yangu mi ehPendo lisilo na kikomo
Pendo lisilo na kipimo Pendo lisilo na malipo ya nguvu zangu Umeziba ufa wa huzuni kwa theluji ya furaha Acha nikuimbie wewe Eeh eh ehPendo lako eh (pendo lako)
Furaha yangu eh (furaha yako) Furaha yako Ni nguvu yangu mi eh (ni nguvu yangu)Pendo lako eh (pendo lako)
Furaha yangu eh (furaha yako) Furaha yako Ni nguvu yangu mi eh (ni nguvu yangu)Eeh eh (Eh, eh)
Say eeh, eh (Eh, eh) Eeh, eh (Eh, eh) Ni nguvu yangu mi (Ni nguvu yangu mi)Eeh eh (Eh, eh)
Say eeh, eh (Eh, eh) Eeh, eh (Eh, eh) Ni nguvu yangu mi (Ni nguvu yangu mi)Eeh eh (Eh, eh)
Say eeh, eh (Eh, eh) Eeh, eh (Eh, eh) Ni nguvu yangu mi (Ni nguvu yangu mi)Eeh eh (Eh, eh)
Say eeh, eh (Eh, eh) Eeh, eh (Eh, eh) Ni nguvu yangu mi (Ni nguvu yangu mi)