Christina Shusho – Bwana Umenichunguza

Christina Shusho – Bwana Umenichunguza

Christina Shusho Bwana Umenichunguza Mp3

Christina Shusho Bwana Umenichunguza Mp3 Download Fakaza Gospel. The Gospel music artiste, Christina Shusho comes through with a banging new jam tagged “Bwana Umenichunguza”.

Christina Shusho Mp3 Download. Listen online, and enjoy The Lyrics, Video of your favorite Music

Stream, Listen, and Download Below.

DOWNLOAD Mp3: Christina Shusho – Bwana Umenichunguza

Lyrics: Bwana Umenichunguza
Ee Bwana umenichunguza, nakunijuaWewe wajua kuketi kwangu, na kuondoka kwanguUmelifahamu wazo langu, tokea mbaliUmepepeta kwenda kwangu, na kulala kwanguUmeelewa na njia zangu zoote, e-ehUmepepeta kwenda kwangu, na kulala kwanguUmeelewa na njia zangu zote

Maana hamna neno ulimini mwangu, usilojua kabisa bwanaUmenizingira nyuma na mbele, ukaniwekea mkono wakoMaarifa hayo ni ya ajabu, yanishinda mimi, hayadhihirikiSiwezi kuyafikia, hayadhihiriki, siwezi kuyafikia

Niende wapi nijiepushe, na roho yakoNiende wapi niukimbie uso wakoKama ningepanda Mbinguni wewe ukoNingefanya kuzimu kitanda, huko nako ukoKama nikisema hakika giza litanifunikaGiza nalo halikufichi kituGiza na mwanga kwako ni sawasawa
Ee Mungu unichunguze, ujue moyo wanguEe Mungu (ee Mungu eee)Unijaribu, uyajuwe mawazo yanguEeh Mungu (ee Mungu)Eeh Mungu (uone kama)
Uone kama niko njia iletayo majuto ndani yangu (eeh Mungu ee) eeh Mungu (ukaniongoze)Ukaniongoze katika njia ya haki (milele) milele (maana wewe)Maana wewe ndiwe uliye niumba (uzima wangu)Uzima wangu (eeh Mungu ee) ee Mungu (macho yako)Macho yako (macho yako) yaliniona kabla sijakamilika (eeh Mungu ee) ee Mungu (nimekuita)Uisikie sauti yangu (nikuitapo Baba)Eeh mungu (eeh Mungu ee) ee mungu (ee Mungu)
Ee Mungu (ee Mungu) unichunguze, ujue moyo wangu (ee Mungu)Ee Mungu (ee Mungu)Unijaribu (ee Mungu), uyajuwe mawazo yangu (ee Mungu)Eeh mungu (ee Mungu) eeh mungu (maneno)Maneno (maneno) ya kinywa changu (ya kinywa changu), na mawazo ya moyo (mawazo, mawazo ya moyo wangu)Yapate (yapate) kibali mbele zako (ee Mungu)Eeh Mungu (ee Mungu) eeh Mungu (maneno, maneno)
Maneno (maneno) ya kinywa changu (ya kinywa changu), na mawazo ya moyo (ye-iye-iye, mawazo ya moyo wangu)Yapate (mawazo ya moyo wangu) kibali mbele zakoEeh Mungu (ee Mungu) eeh Mungu (ee Mungu)
yapate kibali mbele zako(Ee Mungu) eeh mungu (ee Mungu) ee Mungu